New

Chagua Aina: Brown
Idadi
Haraka
Salama
Rejesha
Viatu vya mtindo wa kisasa vyenye upper ya wavu (mesh) na cross-strap mbili za ngozi zinazovuka juu ya mguu - muundo unaotoa mwonekano wa kifahari na wa kipekee, tofauti na viatu vya kawaida.
Sizes zinazopatikana: 37, 38, 39, 40, 41. Rangi: Brown, White, Black na Khaki. Pata mtindo wako leo kwa bei nafuu!
Shoes & Footwear